[go: up one dir, main page]

                                                 TAARIFA YA KUSHANGAZA'-
           Ninaitwa Lewis Linus Willah (willahlewis@yahoo.com), Huwa ninapenda sana kutoa mchango mbalimbali unaohusiana na Kabila la waha, ingawa mimi sio muha, kwani huwa nina fanya tafiti mbalimbali kuhusiana na makabula mbalimbali hapa kwetu Tanzania, na Niko kwenye mchakato wa kuandaa Kamusi ya Kiha na Kiswahili.
           Huwa nikimaliza kutoa mchango wangu juu ya kabila lolote, ninapenda niweke mawasiliano ili mwenye shida juu ya niliyo yaeleza, basi anitafute ili nimsaidie, au kama atakuwa na maoni au ushauri juu ya niliyo yaeleza, lakini cha kushangaza, ni pale ambapo huwa kila nikiweka mawasiliano kwenye upande wa Waha, nakuta wamehariri na kuyafuta, jambo ambalo linanishangaza sana, mana nashindwa kujua kwa nini wanayafuta, na wanayafuta kwa misingi gani?. Mana, hakuna taarifa isiyo na chanzo cha taarifa (Reference), sasa naashindwa kujua kama wanataka kuandika kuwa wao ndo wameiandika, au wanataka isijulikane iliko toka, na kwa misingi gani, iwe hivyo na kwa nini?.
         Imefikia hatua ambayo nimeona kuwa, kama wanaofanya kitendo hiki ni waha, basi itakuwa vigumu sana kwa Waha kuendelea, mana hawataki mtu ajulikane, wala aendelee.

Start a discussion about Waha

Start a discussion
Rudi kwenye ukurasa wa " Waha ".