[go: up one dir, main page]

Manchira ni kata ya Wilaya ya Serengeti katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31609.

Kata hii inaundwa na vijiji vitatu ambavyo ni: Misseke, Bwitengi na Rwamchanga.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 8,960 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,888 waishio humo.[2]

Kata hii ina shule za msingi 4 na sekondari 2.

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Serengeti - Mkoa wa Mara - Tanzania  

Busawe | Geitasamo | Ikoma | Issenye | Kebanchabancha | Kenyamonta | Kisaka | Kisangura | Kyambahi | Machochwe | Magange | Majimoto | Manchira | Matare | Mbalibali | Morotonga | Mosongo | Mugumu | Nagusi | Natta | Nyamatare | Nyambureti | Nyamoko | Nyansurura | Rigicha | Ring'wani | Rung'abure | Sedeco | Stendi Kuu | Uwanja wa Ndege


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Manchira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.