[go: up one dir, main page]

Lenovo ni kampuni ya China inayotengeneza kompyuta, kompyuta bapa, kompyuta mpakato, na vifaa vingine.

Lebo yake.

Lenovo ilianzishwa mwaka 1984 huko Beijing, ilipata biashara ya kompyuta ya IBM mwaka 2005 na ilikubali kupata biashara yake ya seva ya Intel mnamo Januari 2014.

Pia Lenovo ina matoleo mbalimbali kama vile Lenovo Yoga 2 Pro n.k

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lenovo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.