Lango:Sayansi
Milango ya Wikipedia: Sanaa · Utamaduni · Jiografia · Afya · Historia · Hisabati · Sayansi · Falsafa · Dini · Jamii · Teknolojia
Sayansi ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli zilizo bainishwa pasi kuthibitishwa. Msingi wa sayansi ni vitendo. Vitendo vya Kisayansi vina njia zake zinazotumikia kusimamisha kweli ya kisayansi.
Biolojia inaangalia jinsi viumbehai vinavyoishi na jinsi vinavyohusiana kati yao na katika mazingira yao. Lugha ya kisayansi katika biolojia inatumia maneno mengi ya asili ya Kigiriki na Kilatini. Lugha nyingi zimeingiza maneno haya tu katika msamiati wao; katika lugha kadhaa wataalamu wametafsiri sehemu ya maneno haya kwa lugha zao lakini kwa ujumla sehemu kubwa na majina ya kisayansi hufuata utaratibu wa Kigiriki na Kilatini.
Tangu mwaka 1901, Tuzo ya Nobeli imepokelewa na wataalamu wafuatao:
Sayansi asili | Sayansi ya jamii | Sayansi tumizi | Sayansi umbile |
---|---|---|---|
Sayansi asili | Sayansi ya jamii | Sayansi tumizi | Sayansi umbile |
Science on Wikiquote Quotes |
Science on Commons Images |
Science on Wikisource Texts |
Science on Wikibooks Manuals & Texts |