[go: up one dir, main page]

Kristofa Magallanes

Kristofa Magallanes (kwa Kihispania Cristóbal Magallanes Jara, Totatiche, Jalisco, Mexico, 30 Julai 1869 - Colotlán, Jalisco, 25 Mei 1927) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero kutokana na chuki dhidi ya Kristo Mfalme na Kanisa lake [1].

Picha halisi ya Padri Kristofa.
Sanamu ya Cristóbal Magallanes Jara nje ya Kanisa kuu la Guadalajara, Jalisco, Meksiko.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[2]:

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/90018
  2. "List of San Cristobal and companions, St. Cristobal Magallanes and Companions Church, Mission, Texas". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-03-24. Iliwekwa mnamo 2016-03-18.
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.