[go: up one dir, main page]

Go-Uda (17 Desemba, 126716 Julai, 1324) alikuwa mfalme mkuu wa 91 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Yohito, na alikuwa mwana wa pili wa Kameyama. Mwaka wa 1274 alimfuata baba yake Kameyama, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1287. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Fushimi.

Mchoro wa Go-Uda

Angalia pia

hariri
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Uda wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.