[go: up one dir, main page]

Go-Komyo (20 Aprili 163330 Oktoba 1654) alikuwa mfalme mkuu wa 110 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tsuguhito. Tarehe 14 Novemba 1643 alimfuata dada yake, Meisho, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mdogo wake Go-Sai.

Mchoro wa Go-Kōmyō

Angalia pia

hariri
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Komyo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.