Douglas Southall Freeman
Douglas Southall Freeman (16 Mei 1886 – 13 Juni 1953) alikuwa mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu mara mbili: mwaka wa 1935 kwa wasifu yake ya Robert Edward Lee, na mwaka wa 1958 kwa wasifu yake ya George Washington (alikuwa ameandika majuzuu sita, na juzuu la mwisholika andikwa na John Alexander Carroll and Mary Wells Ashworth baada ya kifo chake Freeman mwaka wa 1953).
Douglas Southall Freeman | |
Amezaliwa | 16 Mei 1886 Virginia, Marekani |
---|---|
Amekufa | 13 Juni 1953 |
Nchi | Marekani |
Kazi yake | Mwanahistoria, Mwandishi. |
Ndoa | Inez Virginia Goddin |
Watoto | Mary Tyler Freeman Anne Ballard Freeman James Douglas Freeman |
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Douglas Southall Freeman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |