Bahari ya Bering
Bahari ya Bering ni bahari ya kando ya Pasifiki iliyopo kusini kwa Urusi na Alaska. Eneo lake ni km² 2.315.000.
Mlango wa Bering uko kaskazini kwake.
Upande wa kusini safu ya visiwa vya Aleuti ni mpaka kati ya Bahari ya Bering na Pasifiki.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|