Amerika ya Kati
Amerika ya Kati ni eneo upande wa kusini ya Marekani au Meksiko (taz. chini) na upande wa kaskazini ya Kolombia.
- Kijiografia katika hesabu ya kawaida ya bara 7 ni sehemu ya Amerika ya Kaskazini.
- Kihistoria na kiutamaduni ni pekee.
- Kijiolojia iko kwenye bamba la Karibi ambalo ni bamba la gandunia la pekee na mabamba ya Amerika Kaskazini na Amerika Kusini.
Inajumisha nchi za shingo ya nchi kati ya Marekani na Kolombia pamoja na visiwa vya Karibi. Kwenye shingo hiyo kuna nchi zifuatazo:
- Meksiko si sehemu ya shingo la nchi lakini kwa sababu za kihistoria na kiutamaduni mara nyingi huhesabiwa katika Amerika ya Kati
Pia kuna nchi za visiwani katika bahari ya Karibi:
- Antigua na Barbuda
- Aruba
- Bahamas
- Barbados
- Dominica
- Jamhuri ya Dominika
- Grenada
- Haiti
- Jamaika
- Korsou
- Kuba
- Saint Kitts na Nevis
- Saint Lucia
- Saint Vincent na Grenadini
- Sint Maarten
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Amerika ya Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |