Albert Adomah
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Albert Danquah Adomah (alizaliwa 13 Desemba 1987) ni mchezaji wa soka wa Ghana ambaye anacheza katika klabu ya Aston Villa na timu ya taifa ya Ghana.
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ufalme wa Muungano |
Nchi anayoitumikia | Ghana |
Jina katika lugha mama | Albert Adomah |
Jina la kuzaliwa | Albert Danquah Adomah |
Jina halisi | Albert |
Jina la familia | Adomah |
Tarehe ya kuzaliwa | 13 Desemba 1987 |
Mahali alipozaliwa | London |
Lugha ya asili | Kiingereza |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | wing half, Forward (association football) |
Alisoma | College of North West London |
Muda wa kazi | 2005 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 27 |
Ameshiriki | 2014 FIFA World Cup, 2013 Africa Cup of Nations |
Ligi | Ligi Kuu Uingereza |
Alicheza katika klabu mbalimbali kama Harrow Borough, Barnet, Bristol City na Middlesbrough, ambaye alicheza nayo hadi katika Ligi Kuu.
Aston Villa
haririAdomah alijiunga na Aston Villa siku ya mwisho ya uhamisho kwa ada isiyojulikana, 31 Agosti 2016. Alifunga goli lake la kwanza kwa Aston Villa kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya Cardiff City mwezi Novemba 26, 2016.
Alifunga magoli mawili kwenye mechi ambayo walisuluhu kwa magoli ya 2-2 nyumbani dhidi ya klabu ya Preston North End.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Albert Adomah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |