29 Oktoba
tarehe
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 29 Oktoba ni siku ya 302 ya mwaka (ya 303 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 63.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1920 - Baruj Benacerraf, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980
- 1958 - Stefan Dennis
- 1959 - John Magufuli, rais wa tano wa Tanzania (tangu 2015)
- 1971 - Winona Ryder
- 1990 - Amarna Miller
Waliofariki
hariri- 1911 - Joseph Pulitzer, mhariri wa magazeti Mmarekani, na mwanzishaji wa Tuzo ya Pulitzer
- 1950 - Mfalme Gustaf V wa Sweden
- 1958 - Zoë Akins, mwandishi kutoka Marekani
- 1971 - Arne Tiselius, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1948
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Felisiani wa Karthago, Narsisi wa Yerusalemu, Honorati wa Vercelli, Zenobi wa Saida, Abrahamu mkaapweke, Teodari, Kolmani wa Kilmacduagh, Dodoni wa Wallers, Gaetano Errico n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 29 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |