20 Novemba
tarehe
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 20 Novemba ni siku ya 324 ya mwaka (ya 325 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 41.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1761 - Papa Pius VIII
- 1858 - Selma Lagerlof, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1909
- 1886 - Karl von Frisch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973
- 1923 - Nadine Gordimer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1991
- 1940 - Arieh Warshel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2013
- 1942 - Joe Biden, Rais wa Marekani
- 1982 - Rémi Mathis, mwanahistoria kutoka Ufaransa
Waliofariki
hariri- 1918 - John Bauer, mchoraji kutoka Uswidi
- 1945 - Francis William Aston, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1922
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Basili wa Antiokia, Krispino wa Ecija, Dasio wa Silistra, Oktavi, Solutori na Aventori, Theonesti, Doro, Silvesta wa Chalon, Hipoliti wa Condat, Gregori wa Dekapoli, mfalme Edmund, Benwadi, Sipriani wa Calamizzi, Fransisko Saveri Can n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |