10 Juni
tarehe
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 10 Juni ni siku ya 161 ya mwaka (ya 162 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 204.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 867 - Uda, mfalme mkuu wa Japani (887-897)
- 1915 - Saul Bellow, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1976
- 1951 - Isaac Amani Massawe, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1959 - Carlo Ancelotti, mchezaji mpira na meneja kutoka Italia
- 1976 - Mariana Seoane, mwigizaji na mwimbaji kutoka Mexiko
Waliofariki
hariri- 1580 - Luís de Camões, mshairi Mreno
- 1588 - Valentin Weigel, mwanateolojia Mjerumani
- 1949 - Sigrid Undset, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1928
- 1973 - William Inge, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1954
- 2008 - Kipkalya Kones, mwanasiasa wa Kenya
- 2008 - Lorna Laboso, mwanasiasa wa Kenya
- 2012 - George Saitoti, mwanasiasa kutoka Kenya
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Sensuri, Landeriko, Itamari wa Rochester, Bogumili n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 10 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |