[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kidole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Vidole)
Majina ya vidole vya mkono:
1 Kidole gumba, 2 Kidole cha shahada,
3 Kidole kirefu, 4 Kidole cha pete, 5 Kidole cha mwisho

Kidole ni kiungo cha mwili kilichopo kwenye ncha ya mkono na mguu. Kwa kawaida mwanadamu huwa na vidole 5 kwenye kila mkono na kila mguu.

Vidole vya mkononi vinakua kutoka kiganja vinaitwa kwa majina kama vile kidole gumba, kidole cha shahada, kidole cha kati, kidole cha pete na kidole cha mwisho. Ni viungo muhimu kwa kushika vitu na kutumia vifaa.


Wikimedia Commons ina media kuhusu: