Jinsi Kijana
Mandhari
"Jinsi Kijana" | ||
---|---|---|
"Jinsi Kijana" kava | ||
Wimbo wa Juma Nature
kutoka katika albamu ya Nini Chanzo | ||
Umetolewa | 2001 | |
Umerekodiwa | 2001 | |
Aina ya wimbo | Hip hop | |
Urefu | 4:26 | |
Studio | Bongo Records | |
Mtunzi | Juma Nature | |
Mtayarishaji | P. Funk | |
Nini Chanzo orodha ya nyimbo | ||
|
"Jinsi Kijana" ni jina la wimbo kwenye tepu ya kwanza ya albamu ya Nini Chanzo kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Juma Nature. Wimbo umetayarishwa na P. Funk ndani ya Bongo Records. Wimbo huu ndio uliomtambulisha Nature kurudi kwake baada ya kupiga kimya kwa muda mrefu karibia mwaka kasoro kidogo. Kipindi hiki Nature alikuwa anaongoza kwa kushirikishwa katika nyimbo za watu. Hasa miaka ya 2000 mwanzoni hadi mwishoni. Lakini muda akawa hajasikika, pindi aliposikika kikatoka kibao hiki.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Jinsi Kijana katika wavuti ya AwesomeTapes From Africa
- Jinsi Kijana katika YouTube
Makala hii kuhusu wimbo wa hip hop bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |