José Rizal
Mandhari
José Protacio Rizal Mercado y Alonso Realonda (19 Juni 1861 - 30 Desemba 1896) alikuwa mwandishi mzalendo Mfilipino. Riwaya zake mbili, Noli me Tangere na El Filibusterismo, zilikosoa ukiukwaji wa haki uliofanywa na Hispania. Rizal alinyongwa mwaka wa 1896.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- The Complete Jose Rizal at Filipiniana.net Archived 4 Juni 2009 at the Wayback Machine.
- Talambuhay ni Jose Rizal Archived 1 Julai 2015 at the Wayback Machine.
- The Life and Writings of Jose Rizal Archived 9 Juni 2013 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu José Rizal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |