[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kipampangan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipampangan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wapampangan. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kipampangan nchini Ufilipino imehesabiwa kuwa watu 1,900,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipampangan iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipampangan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.