[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Ben Uzoh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Benjamin Chukwukelo Uzoh (amezaliwa Machi 18, 1988) ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni Mmarekani mwenye asili ya Nigeria anayechezea Marinos ya SuperLiga ya Venezuela. Pia anachezea timu ya kimataifa ya Nigeria.[1] Akiwa na urefu wa futi 6 na 3 kwa (1.91m), Uzoh amecheza katika NBA kwa New Jersey Nets na Toronto.

  1. Emmanuel Okogba (2018-02-23). "D'Tigers begin World Cup qualifier against Uganda". Vanguard News (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-09-02.