[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Adolf Otto Reinhold Windaus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Adolf Windaus)
Adolf Windaus

Adolf Windaus (25 Desemba 18769 Juni 1959) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza dutu zinazofanya kazi kibiolojia, kama vitamini. Mwaka wa 1928 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adolf Otto Reinhold Windaus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.