[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Aïssa Mandi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aïssa Mandi
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaAlgeria Hariri
Nchi anayoitumikiaAlgeria Hariri
Jina katika lugha mamaAïssa Mandi, عيسى ماندي Hariri
Jina halisiAïssa Hariri
Jina la familiaMandi Hariri
Tarehe ya kuzaliwa22 Oktoba 1991 Hariri
Mahali alipozaliwaChâlons-en-Champagne Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKifaransa Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuBeki Hariri
Muda wa kazi2009 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoStade de Reims, Algeria men's national football team, Real Betis, Villarreal CF Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji23, 2 Hariri
Ameshiriki2014 FIFA World Cup, 2015 Africa Cup of Nations, 2017 Africa Cup of Nations, 2019 Africa Cup of Nations, Kombe la Mataifa ya Afrika 2021 Hariri
Aissa Mandi

Aïssa Mandi (alizaliwa 22 Oktoba 1991) ni mchezaji wa soka wa Algeria ambaye sasa anacheza katika klabu ya Hispania iitwayo Real Betis na timu ya taifa ya Algeria. Anaweza kucheza kama beki wa pembeni na hata beki wa kati

Mandi alicheza mechi yake ya kimataifa kwa Algeria mwezi Machi 2014. Alikuwa mwanachama wa timu ya Algeria katika Kombe la Dunia la FIFA la 2014 huko Brazil na 2015 Kombe la Mataifa ya Afrika yaliyofanyika huko Guinea ya Equatorial.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aïssa Mandi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.