[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Paa (Bovidae) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 12: Mstari 12:
| nusuoda =
| nusuoda =
| familia = [[Bovidae]] <small>(Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)</small>
| familia = [[Bovidae]] <small>(Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)</small>
| nusufamilia = [[Cephalophinae]] (Wanyama kama '''paa''')
| nusufamilia = [[Cephalophinae]] <small>(Wanyama kama '''paa''')</small>
| jenasi =
| jenasi =
| bingwa_wa_jenasi =
| bingwa_wa_jenasi =

Pitio la 20:07, 19 Januari 2011

Paa
Nsya Sylvicapra grimmia
Nsya Sylvicapra grimmia
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Oda: Artiodactyla (Mamalia wanaokanyaga kwa kwato mbili-mbili)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
Nusufamilia: Cephalophinae (Wanyama kama paa)

Paa (pia huitwa: Nsya, Sylvicapra grimmia; Mindi, Cephalophus spadix; Funo, Cephalophus natalensis; na Chesi, Philantomba monticola) ni neno la kawaida kwa mnyama mdogo wa Afrika anayefanana na swala na ana pembe fupi.

Spishi