[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kidenenda : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Nyongeza picha
dNo edit summary
Mstari 15: Mstari 15:
| spishi = Angalia katiba.
| spishi = Angalia katiba.
}}
}}
'''Videnenda''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo wa jenasi ''[[Cisticola]]'' na ''[[Incana]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Cisticolidae]]. Chimbuko la familia lipo [[Afrika]] lakini spishi kadhaa zinatokea [[Ulaya]] na [[Asia]] pia, spishi moja hata mpaka [[Australia]]. Ndege hawa hupatikana kwa maeneo wazi, k.m. [[savana]], [[jangwa]], [[mbuga]] na [[bwawa|mabwawa]]. Rangi yao kuu ni kahawia mara nyingi pamoja na michirizi mizito na pengine nyekundu au njano. Hula [[mdudu|wadudu]]. Hulijenga tago lao kwa umbo wa kikombe ndani ya uoto mzito; mara nyingi tago limefunika na [[nyasi|manyasi]] yaliyofumika. Jike huyataga [[yai|mayai]] 3-5.
'''Videnenda''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo wa jenasi ''[[Cisticola]]'' na ''[[Incana]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Cisticolidae]]. Chimbuko la jenasi lipo [[Afrika]] lakini spishi kadhaa zinatokea [[Ulaya]] na [[Asia]] pia, spishi moja hata mpaka [[Australia]]. Ndege hawa hupatikana kwa maeneo wazi, k.m. [[savana]], [[jangwa]], [[mbuga]] na [[bwawa|mabwawa]]. Rangi yao kuu ni kahawia mara nyingi pamoja na michirizi mizito na pengine nyekundu au njano. Hula [[mdudu|wadudu]]. Hulijenga tago lao kwa umbo wa kikombe ndani ya uoto mzito; mara nyingi tago limefunika na [[nyasi|manyasi]] yaliyofumika. Jike huyataga [[yai|mayai]] 3-5.


==Spishi==
==Spishi==

Pitio la 23:05, 1 Novemba 2009

Kidenenda
Kidenenda mvivu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia: Cisticolidae (Ndege walio na mnasaba na videnenda)
Jenasi: Cisticola Kaup, 1829

Incana Lynes, 1930

Spishi: Angalia katiba.

Videnenda ni ndege wadogo wa jenasi Cisticola na Incana katika familia Cisticolidae. Chimbuko la jenasi lipo Afrika lakini spishi kadhaa zinatokea Ulaya na Asia pia, spishi moja hata mpaka Australia. Ndege hawa hupatikana kwa maeneo wazi, k.m. savana, jangwa, mbuga na mabwawa. Rangi yao kuu ni kahawia mara nyingi pamoja na michirizi mizito na pengine nyekundu au njano. Hula wadudu. Hulijenga tago lao kwa umbo wa kikombe ndani ya uoto mzito; mara nyingi tago limefunika na manyasi yaliyofumika. Jike huyataga mayai 3-5.

Spishi

Spishi ya Asia na Australia

Picha