Jana
Mandhari
Jana ni kata ya Wilaya ya Msalala katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 21,090 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16,099 waishio humo.[2] Jana ina msimbo wa posta 37328.
Kufuatana na kumbukumbu ya mzee Kishosha Sitta, kundi la kwanza la Sungusungu lilitokea mwaka 1982 hapa Jana, hatua iliyofuatwa na kuzinduliwa kwa harakati hii katika kata jirani ya Mwalugulu na baba yake Sitta Kishosha.[3]
Marejeo
- ↑ https://www.nbs.go.tz, uk 165
- ↑ Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama District Council
- ↑ Shindikilagi ya Sungusungu ilivyotumika kwa mauaji ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’ Archived 22 Machi 2017 at the Wayback Machine., taarifa ya Shija Felician, kwenye gazeti la Mwananchi, 28/12/2013
Kata za Wilaya ya Msalala - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania | ||||
---|---|---|---|---|
Bugarama | Bulige | Bulyan'hulu | Busangi | Chela | Ikinda | Isaka | Jana | Kashishi | Lunguya | Mega | Mwakata | Mwalugulu | Mwanase | Ngaya | Ntobo | Segese | Shilela
|