Edward Purcell
Mandhari
Edward Mills Purcell (30 Agosti 1912 – 7 Machi 1997) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usumaku wa atomu. Mwaka wa 1952, pamoja na Felix Bloch alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edward Purcell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |