Bara la Antaktiki : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Picha:LocationAntarctica.png|thumb|right|Antaktiki]] |
[[Picha:LocationAntarctica.png|thumb|right|Antaktiki (kijani) katika [[ramani]] ya [[dunia]].]] |
||
[[Picha:Antarctica_6400px_from_Blue_Marble.jpg|thumb|right|Antaktiki]] |
[[Picha:Antarctica_6400px_from_Blue_Marble.jpg|thumb|right|Antaktiki kutoka [[anga|angani]].]] |
||
[[Picha:Ohridski-Livingston.jpg|thumb|250px|right|Kituo cha |
[[Picha:Ohridski-Livingston.jpg|thumb|250px|right|Kituo cha ki[[sayansi]] katika Antaktiki.]] |
||
'''Antaktiki''' ni [[bara]] lililopo kwenye [[ncha ya kusini]] ya [[dunia]]. |
'''Antaktiki''' ni [[bara]] lililopo kwenye [[ncha ya kusini]] ya [[dunia]]. |
||
Pitio la 05:21, 25 Oktoba 2015
Antaktiki ni bara lililopo kwenye ncha ya kusini ya dunia.
Jina "Antaktiki" linatokana na lugha ya Kigiriki likimaanisha "kinyume cha Aktiki", ambapo Aktiki ni eneo karibu na ncha ya kaskazini.
Takriban 98% za eneo la bara limefunikwa na theluji na barafu.
Kwa sababu ya baridi kali katika bara hilo, ni bara pekee ambako binadamu hawaishi kwa namna ya kudumu, isipokuwa kuna watu 5,000, hasa wanasayansi, wanaokaa kwa muda katika vituo vyao.
Mtoto wa kwanza kuzaliwa barani huko alizaliwa mwaka 1984. Kwa sasa kuna shule kadhaa na kanisa moja.
Eneo lake ni kubwa kushinda Ulaya lakini hakuna mti hata mmoja. Bara hili linajulikana kama jangwa baridi.
Bara liko kati ya bahari za Pasifiki, Atlantiki na Bahari Hindi.
Kuna volkeno hai moja inayotema moto baraniː ni mlima wa Mount Erebus.
Viungo vya nje
- Antarctic Place-names Commission of Bulgaria
- L.L. Ivanov et al, Topographic map of Livingston Island and Greenwich Island
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|