mkoko
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]mkoko / mikoko (wingi)
Pronunciation
[hariri]
- mti unaoota baharini unaotumiwa zaidi kwa kujengea na ambao magome yake hutoa dawa inayozuia ngozi za wanyama zisioze, pia hutoa rangi nyekundu
Ndio kwanza mkoko ualike maua
Tafsiri
[hariri]- Kifaransa: mangrove (fr)
- Kiingereza : mangrove swamp (en)